Lowasa adhalilishwa


Wacha kutokwa mapovu ya kinafiki wewe, sitta alipoomba mdahalo na Lowassa yeye ni nani? Lowassa anapambana kuomba kura, wacha mbatia amwakilishe..!!
 

Kipndi chote chanyuma mlikua hamtaki leo mnatak. Duuuu!!!! Mumebanwa eeehhh hali so nzr eeehhh. Sisi tushapga kura ww subilia ukiapishwa tu muombe mdahalo kwa sasa yuko bize kuwapa wanchi wake sera za elimu bule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…