Loving you Mahondaw

Kwa hizi fujo, bado hujatotoleshwa wewe, namshauri baharia ajaze upepo kila baada ya mwaka na nusu, ili mda wote uwe bize kwenye kulea; lasivyo, utamsumbua sana baharia huko mbeleni :D :D
Weee mi na smart utatuweza sasa!

Natamani kumzalia mtoto mwingine anyday anytime sema huyu bado hajatimiza mwaka.
Tena nikiwa na 🤰ndio kabisaaaa akili zetu kama vichaa mara 2!
 
Mwaka wa nini tena, anatakiwa akishafikisha miezi 3 tu, kitu kingine kimeingia; hii ndio silaa pekee ya kumtawala mwanamke mjanja mjanja :D :D
 
🤣🤣🤣🤣🤣!

Weee miezi mitatu tutambemenda mtoto weee!
Mwakani atakua ashakua kua nyingineee🤰!

Afu nilivo na damu nzuri wakike wanakua kama waarabuuu😛😁😁😁
 
🤣🤣🤣🤣🤣!

Weee miezi mitatu tutambemenda mtoto weee!
Afu nilivo na damu nzuri wakike wanakua kama waarabuuu😛😁😁😁
Hizi lugha za kitapeli hizi, ndio zinazowafanya wanaume wengi wanasahau walikotoka; mzee wa muongozo shtuka mapema :D :D :D , usipokuwa makini, unaweza kujikuta una suruali moja tu, fua kauka nikuvae.​
 
Weeeee tutake radhiii pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!!
Hata bila kumtegemea smart ndo nishindwe hata kumnunulia nguo Smart911 wanguu mfyuuu!☺️
 
Ndo haoo haooooooo! Hawa mambo yao wanajuana wenyewe!
Umenikumbusha kitu kimoja, kuna mzee mmoja alikuwa mbogo kweli akiwa nje, akiingia ndani alikuwa anapewa majukumu ya kazi za nyumbani na anakuwa hana sauti, vipi ulishawahi kusikia kitu cha namna hii? Na ni kitu gani kinachosababisha hiyo hali?​
 
Kwamba mzeiya katulizwa na shuntama?? ?? 😁😁😁! Weee mwehuu kwel Mi na smart mile daima mtasema mtachoka 😁!

Kwa taarifa tu Hata tukigombana hatuachanagioooooohhh🤗🤠!( In Nigerian voice)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom