Loving you Mahondaw

Na huu ndio ubaya wa JF

Lamomy kajoin JF miezi michache tu iliyopita lakini anayajua haya mambo ya miaka iliyopita...hapo ndio unatakiwa ujue JF hakuna mgeni...ni IDs tu tunabadili
Ndugu nna id yangu sema ilipewa ban nikafungua hii.. nilivyosubiri irudi ile waziunge na hii.!! Akatokea jamaa akaongea kwenye comment Id ya cute wife yake so mods wakaziunganisha..!!
Nilivyoongea na mods wakasema wanaifuta ile id nibaki na hii..!! Ndo nipo nayo hivyo.
Ila kuna mtu kaiba jina langu ss hivi anatumia, naye anajiita cute wife..!!
 
watu wanapenda mambo ya mapenzi, uzi una dakika kama 39 lakini umetembeaa kinoma


kaka Smart911 chukua jiko hilo ofisho ndani ya suti na shela. Michango tutatoa hapa. All the wishes mkuu


kuna na wale Nifah na yule jamaa wa vipepeo weusi, na nyie fanyeni kweliπŸ˜‚


"love is a beautiful thing"
 
Kijiwe ni kile kile na wapiga stori ni wale wale πŸ˜‚

Daah! Hatari sana
Unaeza kujikuta umemnyima mchezo Watu8 akaamua kujivua gamba akajiita Shimba ya Buyenze akakupata πŸ˜‚πŸ˜‚

Mie ndio maana naambia watu ukiamua kumkataa mtu humu basi wakatae wote tu manake unaweza kujikuta unazunguka bure tu
 
Watu wanaoana tu humu kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…