Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,865
- 2,205
Wanawake wana pattern za tabia zinazofanana
Acha kumtania mwenzako hakuna binti wa Yesu anashinda kwenye umbea kutwa๐๐๐๐Binti wa Yesu mzima?
๐ณ๐ณkheeAtaibukia kwa mdada wa Ofisini na GYM, maana nae kapoaa mnoo siku hiziii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Braza braza, umwkuwa korofiWote jinsia moja...
Unashangaa ya watu ee๐๐ณ๐ณkhee
Braza braza, umwkuwa korofi
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKwani Kuna sehemu Yesu kasema Binti zake tusile ubuyuAcha kumtania mwenzako hakuna binti wa Yesu anashinda kwenye umbea kutwa๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃChakoorii,mahaba unayo?Jamaniii๐คฃ๐คฃ๐คฃ
ShikamooWewe ni Pisi Kali Mjukuu, huwezi kukosa
Hukumbuki posa zilivyomiminika kwaajili yako, Tena Wanaume wenye ng'ombe 200 na zaidi ๐ค, isingekuwa Wazee kusimama upande wa Smart huenda angekukosa ๐
Ndugu yangu nani wa kunipa mahaba mei cheusi mangara?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃChakoorii,mahaba unayo?
Mbona ni kama unaendelea kuandika lakini umeishia njiani?Unashangaa ya watu ee๐
Tazama yamekuwa mapya...2024๐Mbona ni kama unaendelea kuandika lakini umeishia njiani?
๐๐๐Niolewe tu nikupumzishe kwakweliMa mchungaji uolewe upunguze nyimbo za mapambio ๐๐๐
Yes wizoBonge la worship
Olewa olewa ukatumikie ndoa USA ๐บ๐ธ๐๐๐Niolewe tu nikupumzishe kwakweli
WordUnajua hiyo ni kunyanyaswa kihisia na mtu anakuwa anajifariji kwa uongo maana mwanaume anakuwa manipulator,kutoka kwa hayo mahusiano mpaka ukae ujitafakari haswa uwe na msimamo,maana unakuwa unajizibia riziki yako kwa mtu wa kweli humu wako wanaume wazuri tu na wametulia
๐ฉ๐ฉMbona USA jmnOlewa olewa ukatumikie ndoa USA ๐บ๐ธ
Mimi na jf sitaki tuwe na mazoea ya karibu kiviilee.Tazama yamekuwa mapya...2024๐