Mkuu, andika kiswahili basi, angalau na mimi niambulie chochote. ๐ค๐ค๐คMahondaw , when I met you... There was peace unknown... I set out to get you...
I was soft inside... There was something going on...
Mahondaw you did something to me... That I can't explain... I will hold you closer to make you feel no pain...
Tender love is blind... It requires a dedication... All this love we feel... Needs no conversation...
We ride it together... Making love with each other... That is what we are... No one in between...
How can we be wrong... stay with me... And we rely on each other...
If the love was gone... Everything is nothing...
And we got no doubt... Too deep in love and we got no way out... And the message is clear...
This could be the year for the real thing... No more will you cry... We start and end as one...
View attachment 2892128
๐๐๐๐uzinduzi wa penzi๐คฃ๐คฃghaiiiiiLesista umeibukia kwenye uzinduzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hainaga makombo.
Hiyo inaitwa mbuzi kala kotiTutaweka wapi sura zetu wambea..kumbe wamerudiana
๐
Bado hujasema Jo
Mwanaume gani?? Mwaka huu ndio nipo huku MMU so mengi yananipitaga. Can you tell me what Happened pls?Hawa ni kweli na kulikua mpk na mpambano wa kugombania huyo mwanaume.!!
We nawe uko wapi??
Hayanaga muongozoNgoja waje wakupe muongozo
Kila la heri kwao,Which is good
Nawaombea mapenzi yao yaendelee kuwepo
Uko vizuri ๐๐Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawalaโฆ..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote ๐๐๐
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ wii nilipitwa ile siku aisee!! NilimindUko vizuri ๐๐
Yaaani mpaka nitheme ndugu mtu nane
Hapa na umbea wangu najiuliza zile anniversaries inaanza MOYA ama tunaendelea ule mwaka tulipoishia
Wapi wewe wakat bwana ake antonia alirud nchini ikabid penz life kwanza naona msoja kasepa tena penz limerudKwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawalaโฆ..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Story upendazo..!Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawalaโฆ..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote ๐๐๐
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Wakinga tunajua kuhonga, hatutoi maua sisi ๐๐๐๐๐Kwakweli na umwambie Kakaako sitaki maua valentine hii ๐๐
Ni nabii wake na sio witchdoctorWii mganga wake sio tapeli