KhakhakhaaaaSean Paul hapa kasugulishwa sana na huyo Sasha...
Hahaha Kila akikwepa analetewa mzigo...
🤦🤦🤦!Na ulivyo na mzigo....
Balaah lake siyo dogo..
Natumae mleta mada amepata mwongozo
I had always been thinking 'bout you... Thinking 'bout us, what we gon' be...
Wished will you come back? No one knows...
I was down but now i'm back on the top...
You are my number one spot, despite what happened you never found a replacement...
I don't know how i would have taken it... Knowing somebody's got my Mahondaw...
Now you are back, seen your pretty face, run my fingers through you hair...
You are my lover... My baby, my sweetheart... You know that you are my only one...
More and more, I miss you... Let me give you all my love...
You are so easy to love, no complications...
Despite all, you never made a decision that you wanted to move on...
Even though i was wrong...
View attachment 2906881
Mpaka sasa ulitakiwa uwe na watoto 6 😀😀Smart911 Anibebeshe Mara ngapi?? Saii tuna Miongozo Jr II!
Mwakani mimba tena
Kabeeesa 😁😁 !Mpaka sasa ulitakiwa uwe na watoto 6 😀😀
Huo ni utapeli, hakuna tofauti na huu uzi...Kabeeesa 😁😁 !
Sio mbaya hawa wawili tukiongeza mmoja watatu inatosha🤠!
Mwakani mimba tenaaaa🕺!Huo ni utapeli, hakuna tofauti na huu uzi...
Msaada tutani; Nina hali ngumu sana, nisaidieni kazi niweze kujikwamua
Kuleta hapo mwanaume hawezi.. Na hata wakati ule siyo kwamba alikuwa analeta hapo hapana! Watoto pia ni wakubwa.. Mtoto wa kwanza ambaye amemaliza chuo mwaka jana yupo hapo na ni kijana mkubwa wa miaka 25. Hawezi kuleta mwanaume hapo nyumbani... Mtoto wa mwisho ana miaka mingapi?www.jamiiforums.com
Mzee wa muongozo atatuletea mrejesho 😀Mwakani mimba tenaaaa🕺!
Wee mlete demu wako kwa smart atakusimulia mwenyewe 🤠!Mzee wa muongozo atatuletea mrejesho 😀
Wee mlete demu wako kwa smart atakusimulia mwenyewe 🤠!
Weee mi na smart utatuweza sasa!Kwa hizi fujo, bado hujatotoleshwa wewe, namshauri baharia ajaze upepo kila baada ya mwaka na nusu, ili mda wote uwe bize kwenye kulea; lasivyo, utamsumbua sana baharia huko mbeleni 😀 😀
Mwaka wa nini tena, anatakiwa akishafikisha miezi 3 tu, kitu kingine kimeingia; hii ndio silaa pekee ya kumtawala mwanamke mjanja mjanja 😀 😀Weee mi na smart utatuweza sasa!
Natamani kumzalia mtoto mwingine anyday anytime sema huyu bado hajatimiza mwaka.
Tena nikiwa na 🤰ndio kabisaaaa akili zetu kama vichaa mara 2!
Mwaka wa nini tena, anatakiwa akishafikisha miezi 3 tu, kitu kingine kimeingia; hii ndio silaa pekee ya kumtawala mwanamke mjanja mjanja 😀 😀