''''''Love vs Racism'''''

''''''Love vs Racism'''''

Kwan wewe unaamini huyo mim au??je wewe unafanana na avatar yako

Avatar yangu ndio mimi
Najua wewe sio hiyo avatar yako

Lakini hiyo ni nyeupe kitu kinachonkinzana na maelezo yako!
 
Avatar yangu ndio mimi
Najua wewe sio hiyo avatar yako

Lakini hiyo ni nyeupe kitu kinachonkinzana na maelezo yako!

Mie ni mweupe lakin ni mtanzania au ukiwa mweupe lazima uwe mzunguu!!!!!
 
Upendo haujui mipaka, may be fundi alikuwa na malengo na huyo binti bali alikuwa anajipigia ngozi nyeupe.
Note: no racism meant.
 
Back
Top Bottom