dr luv
Member
- Dec 19, 2011
- 23
- 12
Ilikuwa kama saa nne usiku ambapo Julius alipigiwa simu na dada mrembo amabye anampenda kwa moyo wake wote lakini kila akijaribu kumweleza hisia zake binti mrembo hamwelewi, alipopokea akasikia sauti taaam ikisema ombi lako nimekukubalia, naomba uje nyumbani kwani niko peke yangu nahisi ndo chance pekee ya mimi na wewe kukutana na kuongea yetu zaidi. Bila kupoteza muda Julius akafika kwa binti, alipoingia akakaribishwa mpaka chumbani. Kwa kuwa Dar kuna joto binti alikuwa kavaa kanga moja tu laini sana. Sorry, battery low!!