Love melted before my eyes


This story must be true Ic,Imenikumbusha story ya Dem Wangu

Nilikua na dem katoka UK kamaliza degree yake ya kwanza alikua ana swag sana yani nilikua nikitaka kumtoa out ananiambia sasa hapa mbona ovyo , wakati ndio kamaliza chuo tu hana hata pesa,ndio kwasababu nilimpenda nikawa na go with it

akawa ananiambia mimi sitaki kazi ya mshahara less than 1M enzi hizo 2011,Aka apply kazi akawa akiitwa kwenye interview anataja mshahara kubwa ikawa wanampiga chini coz ilikua nje ya Budget

Akasema ngoja kwanza apige ACCA yani CPA ya UK ili akiunganisha na degree yake ya UK aajiliwe kama Chief Accountant mshahara uwe mrefu zaidi nikawa nawaza vipi awe chief accountant bila uzoefu nikamshauri aanzie msharara mdogo ndio uzoefu utampa mshahara mkubwa hakunisikia,Alipo jaribu kuappy VISA ili arudi UK aka chukue hiyo ACCA ubalozi wa UK kipindi hicho uko Kenya sijui kama wamesha rudi dar kwa sasa, wakampiga chini so VISA akakosa na kazi akawa hana

Kipindi hicho mimi ni kawa nishaanza kumpotezea taratibu coz nilimuona sio wife material hakuwa na mawazo ya uhalisia wa maisha ya Tanzania.

Nikapata kazi mkoa,Tukawa tuna wasiliana kama marafiki tu, akanipigia simu siku hiyo analia maisha ni magumu sana anatafuta kazi yoyote coz home kwao kushakua kwa moto anazinguliwa na kaka zake kisa anaonekana haoneshi juhudi za kusaka kazi

Saizi kazi EXIM Bank analipwa Mshahara Sh 270,000 baada ya makato amechoka mbaya ,Nilipo onana nae akaniambia saizi amenyooka alikua anajidanganya sana sana alipo fika from UK kwani alikataa mshahara wa laki 8 na mpaka saizi ungekua umesha ongezeka.

Umri wake umekwenda ana 30 yrs ananiambia anataka mchumba wa kumuoa ila hajapata anahisi hata olewa kabisa

In my heart nikawaza angekua mke wangu ila ndio tayari nishaoa na nina watoto sasa.

She is so lonely

Nilicho jifunza kutoka kwa huyu dem wangu wakitambo ni kwamba wasichana wengi wanaotoka kusoma nchi za nje huwa wana expections kubwa sana

Nawaomba wabadilike
 

Dah pole sana rafiki! Itabidi me na wewe tuonane asee ... ningependa kumfahamu ex wako maana nahisi amepita alikopita Beige
hatasielewii hii story

Kiruu! Huelewi nini sasa! Pole sana
 
Duh! Pamoja na kuwa haijaisha hii story yako, lakini nimekuonea huruma sana. Pole sana.
 
Hahahah nimempenda disaster..
 
Endelea kuchagua wanaume ka unachagua movie,siku ukija kustuka.....waya haah haah
 
@ Money Penny kwanza napenda kukupongeza kwa kipaji chako cha uandishi, natumaini hii imetokana na "hobbies" zako za kupenda kuangalia movies etc. Hivyo nakushauri uangalie jinsi unavyoweza kubadili hobbies kuifanya biashara.

Kama ulivyo eleza kuwa umechukua miaka mingi kutafuta kazi kumbe kazi ulikuwa nayo bali kwa bahati mbaya ulikuwa huitambui, hata hivyo bado hujachachelewa, endeleza kipaji chako cha uandishi iwapo mwanzo inaweza kuwa ngumu lakini nina uhakika mwisho wa siku utafaniliwa. Hii inaweza kwenda sambamba na jinsi unavyo weza kutumia e marketing katika katika kupanua wigo zaidi hivyo waweza wasilia na tech section wakushauri au tuwasiliane inbox.

Wazo na ushauri tu.
 
Endelea kuchagua wanaume ka unachagua movie,siku ukija kustuka.....waya haah haah

Weweee! Nakuona nakuona single boy
Unalalamiiiikaaa niaaaaajeeee!!

Hahaha. Asante kaka, jaman mimi sio Beige mbona mnanichanganyaa?! Njoo inbox kaka nikupe no yangu tuongee seriously! Ila umenifagilia mbaya mpaka naona aibu. God Bless you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…