Love is not sex only

Mtoto Wabibi

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
451
294
Hivi Watanzania nini kimewakuta mbona mambo madongo tunashindwa kuelewa.

-Mtu anasema anatafuta mpenzi;watu mnaenda moja kwa moja kuhoji ngono (sex) na kumuita malaya.Hivi nani kawaambia mtu anavyotafuta mpenzi amekosa mtu wa kungonoka nae huko yawezekana hata bikira alitolewa kitambo afu una hoji ngono tu.Hoji sex baada ya kukubali.

-Mdada unaambiwa unapendwa na mawazo yako yana hama unawaza kugongwa(sex).Hivi nani kakwambia mimi nina shida na sex kiasi hicho hadi kujilinda eti naogaopa mimba.hivyo kama nilitaka sex kuna wengi tu wa kununua na wazuri kuliko wewe ambao sitongozi. Kama nimekupenda sex tujadili baada ya kukubali.

- Eti nakutongoza asubuhi mchana "eti nije geto (kwako)" ... Unakuja kufanya nini kama sio sex tu na nani kakwambia kukutongoza basi naomba mechi. Mtaumbuka
-Nimengonoka na wewe tu, unaanza habari za love wakati hatukutongozana (tumejikuta tu) na mipango ya ndoa papo hapo. Heeee mimi naoa kwa sex au upendo?

Upendo ( love) sio ngono (sex) tu : love inahusisha vitu vingi sana na sio sex pekee badilikeni.

Mtu anatafuta mpenzi au mchumba, watu wanakimbilia kukoment kuhusu papuchi, hivi nani kakwambia anataka ngono? hivi kawaroga nani? Sawa kungonoka ni part ya love. Ni vizuri ukawa specific.

Duuu.....!
Haya natafuta mtu wa kungonoka nae au wa kupendana nae....! Ni sawa? kuwa specific unataka kungonoka au kupendana?
 
Kwani nikitaka ngono nikatumia gia ya upendo kuna ubaya gani au nikitaka upendo nikatumia gia ya ngono kuna ubaya gani? The end does not justify the means so focus kwenye matokeo usijali kuhusu mbinu inayotumika huu mchezo hauhitaji hasira
 
Usipoteze muda wako kuwaelewa au kubishana na 'ghosts' wa jamiiforums.

Weka bandiko lako, angalia 'comments' zinazokuhusu. Nyingine achana nazo.

Kwa ufupi. Angalia maslahi yako zaidi ukiwa kwenye hii 'jungle'.
Kwenye hili jungle kuna maslah mkuu?
 
hahaaaaaa unajua sehemu yoyote mnayokutana wengi lazima kuwe kuna mengi na ni tofauti
sasa hapa tupo watu wa aina tofauti tofauti kila mmoja amejiunga /kuingia humu kwa mapendeleo yake binafsi na sababu tofauti na mwingine
kwahiyo inabidi tu ukubali changamoto .
 
Yaani ulikuwa akilini kwangu kabisaaaaaa.
 
Usipoteze muda wako kuwaelewa au kubishana na 'ghosts' wa jamiiforums.

Weka bandiko lako, angalia 'comments' zinazokuhusu. Nyingine achana nazo.

Kwa ufupi. Angalia maslahi yako zaidi ukiwa kwenye hii 'jungle'.
Ni wachache wenye mawazo na busara kama zako
 
Kwani nikitaka ngono nikatumia gia ya upendo kuna ubaya gani au nikitaka upendo nikatumia gia ya ngono kuna ubaya gani? The end does not justify the means so focus kwenye matokeo usijali kuhusu mbinu inayotumika huu mchezo hauhitaji hasira
Eti hujaona madhara....! Ndiyo mana mnaumiza wadada za watu.kama sio muoaji sema tu wazi mkuu na papuchi atakupa ila kwa tahadhari
 
hahaaaaaa unajua sehemu yoyote mnayokutana wengi lazima kuwe kuna mengi na ni tofauti
sasa hapa tupo watu wa aina tofauti tofauti kila mmoja amejiunga /kuingia humu kwa mapendeleo yake binafsi na sababu tofauti na mwingine
kwahiyo inabidi tu ukubali changamoto .

sawa kuna mengi lakini wengi zaidi ni akina jeska
 
Eti hujaona madhara....! Ndiyo mana mnaumiza wadada za watu.kama sio muoaji sema tu wazi mkuu na papuchi atakupa ila kwa tahadhari
Kweli wee mtoto wa bibi nani anataka kuchezewa? Mapenzi bila uongo hayanogi na ukiendekeza ukweli mbunye hupati utapiga nyeto deile
 
Ukiendelea hiv utakuwa unagingewa sana ukiwa na demu acha habar za kuremba mle papunch soon as possible leta ukorea na Uhind uko Tz mkuu wanawake wote wanapenda kuliwa papunch zao ukimla tu ndio utamilik km hujamla na akaliwa huko baaas umemkosa hata km anakupenda vip
 
Usipoteze muda wako kuwaelewa au kubishana na 'ghosts' wa jamiiforums.

Weka bandiko lako, angalia 'comments' zinazokuhusu. Nyingine achana nazo.

Kwa ufupi. Angalia maslahi yako zaidi ukiwa kwenye hii 'jungle'.
Hebu tufahamishe aina za maslahi humu
 
Back
Top Bottom