D doppla2 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 1,393 Reaction score 1,462 Oct 12, 2017 Thread starter #21 joanah said: JF bhana..ukute wewe ndio mwalimu wao wa kulia lia katika mapenzi Kama ni kweli iko hivyo kwako labda hujampata uliyempenda sana Click to expand... Nahisi sijampata
joanah said: JF bhana..ukute wewe ndio mwalimu wao wa kulia lia katika mapenzi Kama ni kweli iko hivyo kwako labda hujampata uliyempenda sana Click to expand... Nahisi sijampata
D doppla2 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 1,393 Reaction score 1,462 Oct 12, 2017 Thread starter #22 Neybright said: Wakati wako haujafika Click to expand... Ngoja nisubiri
D doppla2 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 1,393 Reaction score 1,462 Oct 12, 2017 Thread starter #23 Extrovert said: Hamna mtu asiependa, hata wale manunda wanapenda tu wakikutana na mtu flani. Kama huna hisia nimtie mamaako risasi ukiwa unashuhudia halafu upotezee hapo ntakuona kweli adolf hitler! Click to expand... Unachozungumza kiko mbali na mantiki yangu
Extrovert said: Hamna mtu asiependa, hata wale manunda wanapenda tu wakikutana na mtu flani. Kama huna hisia nimtie mamaako risasi ukiwa unashuhudia halafu upotezee hapo ntakuona kweli adolf hitler! Click to expand... Unachozungumza kiko mbali na mantiki yangu
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Oct 12, 2017 #24 Subir kidogo kuna Perfect Match yako haijafika