Wasalaam wakuu!
Niko ova 30 now, Nimekua na mahusiano na wanawake wengi ila ukweli nahisi siko kama wengine naosikia wakilia mapenzi yanawatesa kiasi hata cha kutaka kujiua.
Sijawahi kuwa na feelings hizo watu usema na kuandika kuhusu mapenzi.
Mimi husumbuliwa na nyege tu, na nikishamgegeda mdada naona mission has been completed.
Wakuu ktk hali kama hii, je niko normal?
Au neno Love is not a Life reality, But instead is a human inventory feelings to manipulate human paychology?
Tafakuri yenu itanijenga, karibuni.