nilikuwa kazini mkuuhujalala hadi saa izi unaposti huku nDo.a yako unaitumikia mda gani.Mkizodolewa mnakuja humu Jf kulalamika.Ngoja nijitupe kunakobed.
nilikuwa kazini mkuu
Kule kwao Mwita Maranya, mapenzi ni kuchapwa makofi.
nilikuwa kazini mkuu
Thanks and be blessed kunujuza.Umeniondolea sintofahamu.nilikuwa kazini mkuu
nilikuwa kazini mkuu
unaugomvi nae...!.?
Hebu fafanuka fasta! !!!
Kazini usiku wote,wewe lazima utakuwa askari!
unaugomvi nae...!.?
hata simuelewi utadhani nimekesha na mkewe khaa
Hanna ugomvii bac tu. cjui ndo tabia
pole....ndio watu na viatu....