Habari za mida hii wapendwa...mimi ni binti mmoja mtaratibu sana, sijisifii ila niko hvyo kweli. Mapenzi yamenuimiza sanaaaaaa..ilifika mahali nilichukia sana wanaume, niliona ni wanyama..nimekaa kipindi kirefu sana bila kujiingiza kwny mahusiano, kwani nilihitaji kujijenga kwanza..niliona labda nitafute kwanza maisha then mapenzi yatakuja tu, kwan mapenzi yapo ukipata mtu sahihi..ila sikuchoka kumuomba Mungu, hata hvyo nashukuru kwan nimetoka kwny familia ya wacha Mungu hvyo malezi bora nimeyapata kutoka kwa wazazi na ndugu zng..nimesoma chuo, nikamaliza nikamuomba Mungu kazi akanipa kazi nzuri sana...sasa nafikiri ni wakat wa kuwa a wife and a mother..sijui hata nimesukumwa nin kuandika humu ndani..ila I dnt need a part time guy, I need someone to be the best husbd for me and best dad to my future kids, awe na kazi either serikalini au private sector, a man who is ready to start a future..a God fearing man..not just that..awe mtafutaji na mapenzi ya dhati..awe either mchaga, sukuma, nyakyusa, mpare au mhehe. PM if you fall on the mentioned categories. Mbarikiwe.