Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Yap is sometimes yaani mpaka unamlilia mungu huyu mbona kachelewa kuja ,Sasa changamoto huwa
1.Pesa isipungue
2.Uliomnyanganya awe muelewa
3.Muachane na ya nyuma
4.Management ya marafiki,ndugu na jamaa
5.Cheating
EMOJI yako haionekani
Changamoto zinakomaza Upendo best!hahaha... yeah sure its a beautiful thing but full of changamotoz 😂😂😂
hapo chachaHonestly love is a beautiful thing
Ila usiombe umpende mtu yeye hana Habari.
[emoji252] [emoji479]
nani huyo anaonyesha ndala boss?Dunia inabadilika sana. Hayo mandala tu nimeshangaa anayaonesha hovyo kapisa
anasbo njoo
nyingine zinauwa kabisaChangamoto zinakomaza Upendo best!
hujui hilo?
NDOROBOEEEMapenzi yanarun dunia,mapenzi kizungumkuti nayempenda na kumjali hanipendi,anayenipenda simpendi.
Ikitokea hali kama hii wanawake ni kuanza kumpenda yule akupendae tu hapo utaona dunia yote yako.
hahahahahaha pole kwa kuumizwa best!LOVE ni full of shit. hiyo ndio FACT