Love has no heights.....!!!!



Nimependa hii ya mwanzo,jamaa anafaudu......daah!!
 
Hapo ndipo utaamini papuchiinuwezo mkubwa accordingly to ur size

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nilikaona aka kademu kwenye reality show ya MTV ( I Love Money) miaka ya nyuma. Hata mi kwenye ile show nilikuwa fun wake sana,kweli nilikuwa nakapendaga sana,yaani ni kirembo alafu kiko phisically fit,sio kama hawa wa kujichubua migulu baja na mbavu za nyau kwasababu hawataki kula. Kwenye ile show nilikuwa naona wavulana kibao wanapigana kikumbo, na mwingine alitangaza ndoa kabisa. Hapa mzee mzima ndo anaonyesha money talks,acheni vijana wageuzwe punda jamani.
 

Acha kabisa mkuu
 
Kiroho safi kabisa papuchi zinatufanya tuwe sawa kiurefu,kiunene na kujidai mbele ya wengine kabisaaaa
 
Dah kwenye yale mambo yetu sijui inakuwaje.!?
huyu binti anahimili uzito wa hili jabali kweli.!?
Kweli furaha ya mtu ni raha ya moyo wake.
 
kadada kako vizuri, flexble hapo full kumdatisha jamaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…