Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,320
- 115,315
Kweli kabisa wa nyumbani. Anaweza jitutumua weee mwisho wa siku akaambulia kibuti na michambo juu.Na kweli
Kweli kabisa wa nyumbani. Anaweza jitutumua weee mwisho wa siku akaambulia kibuti na michambo juu.Na kweli
Nadhani unakujua PM mkuu huwa kuna siri nzito sana kule. Hivyo take care.nimekusoma sana mchizi wangu...aisee kweli inawezekana kuna wanyamwezi humuhumu wanatembeza mkuyenge kwenda mbele.
hahahahha.aisee nakusoma kwa herufi kubwa kinoma.PM huko watu wanadabodisha sana nasikia.Dah.ndio maana wanyamwezi tulikuwa hatutaki hii mambo.Tatizo totoz zingine ni exceptional.zinafanya watu tu break rulesNadhani unakujua PM mkuu huwa kuna siri nzito sana kule. Hivyo take care.
Wanyumbani usimkatishe tamaa jamaniKweli kabisa wa nyumbani. Anaweza jitutumua weee mwisho wa siku akaambulia kibuti na michambo juu.
hahahahahahah.Post of the month.tnxsHongera Ila tumia akili usije kutulilia
Usijali Wanyumbani nimekuelewa sana. HahahahaaaWanyumbani usimkatishe tamaa jamani
Hahahaaa. Zidi kujiamini mkuu. Nina imani hicho chombo ni chako pekeee.hahahahha.aisee nakusoma kwa herufi kubwa kinoma.PM huko watu wanadabodisha sana nasikia.Dah.ndio maana wanyamwezi tulikuwa hatutaki hii mambo.Tatizo totoz zingine ni exceptional.zinafanya watu tu break rules
hahahah.afu we manzi noma sana.unabadili gia angani dadek.hahahahaHahahaaa. Zidi kujiamini mkuu. Nina imani hicho chombo ni chako pekeee.
Maana akiumizwa atarudi kulia humu humuHongera Ila tumia akili usije kutulilia
hahahah.afu we manzi noma sana.unabadili gia angani dadek.hahahaha
hahahahaha.umeona eeeh..ila gangsters never cryMaana akiumizwa atarudi kulia humu humu
Wewe mzigua Mbona adimuNa kweli
Nipo mkuuWewe mzigua Mbona adimu
ingawa?Kipya kinyemi.
Ata mm nahs ndo yule aiseeAu ndio yule aliyekuja kushukuru Jana kama amepata bwana humu ndani?
Utakua umenasa kwa huyo binti
......thijuii.ingawa?
Umeadimika sanaNipo mkuu
Maisha mkuu..Umeadimika sana