love calculator umekutana nayo???

love calculator umekutana nayo???

hahahahh haahahahhah!!!!!!!! :A S 465::A S 465::A S 465::A S 465: bora nsinngeangalia maana ni namba za viatu vya watoto!!!!!!!!
 
Ramli kwa njia ya mtandao!
Revolution of Ramli occured .
 
duh! haiwezekani wote wanipende sawa sawa. Ngoja nilisti na wale wengine
 
Bora nifurah 2! Lakin nksubr kuchekwa na watu ntaumia zaid bora nkubal matokeo kwa furaha!
 
Mkuu stevoh hii kalkuleta iliwahi kuletwa na dada Lizzy .. Cha ajabu wote ninaowapigia mahesabu sijapata below 70%!
Ama ya kwako inapimaje..

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom