Hahahahaha kasinde umenichekesha htr hyo atakuwa dungdunga au vampire hah!!nakumbuka cku moja bae wngu akaniambia natka nikukic shingon mi nikajua just a kiss,akaanza taratibu nikawa nackilizia utamu lol mara kaanza kukaza mdomo mara meno yapo juu ya shingo weee!!!alikula kofi mpka 5 finger zikatokea mana nilihic anataka kunikausha damu!!!!

Wamuonea nani aibu kama ukiwekewa la pajaniNaonaga aibu kuwa na love bite
Pole sana best....ila huyo bae wako atakuwa mjukuu wa vampire huyo. Love bite kimsingi utakachosikia ni raha tuuuu baasi. Anahitaji orientation aisee. Mara nyingi mtu unakuja kushtuliwa na alama aidha wakati unajitazama kwenye kioo au mtu mwingine kukustua.
Huo mchezo hauhitaji hasira na kuanza kuumizana. Ha ha ha
Huyo jamaa atakuwa vampire/ zombie , love bite zaidi ya dakika 10[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huyo mwanafunzi bado,dkk 25 unaweka lovebite au unanyonya damu?,hata vampires hawatumii mda kunyonya damu khaaaa
Lovebite uwe mweupe uwe mweusi inaonekana mbona as long as jamaa awe mtaalamu,ila kama ndo upate vampire unalo, lazma akutegue mshipa wa damu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haihitaj meno...Unabana tu nuama kwa kutumia lips Huku umeivuta ndan ya mdomoUnang'ata na meno ya mbele