Salute you. Kwa hiyo ww una wapenzi zaidi ya watatu.
Ndomana ukaambiwa Kama kiti cha daladala ukishuka wanakaa wengine, una uninstall huyu ana download, cha muhimu ukishikwa shikamana.
Siku hizi kabla hujashuka kuna mtu kasharuhusiwa kukaa, ukijichanganya tu, unashushwa afu anakalishwa!
Sinaga kupangisha foleni ila penye masilahi ndiko najihifadhi, pakinishinda naangalia kwingine kwenye masilahi zaidi.
Iko modified inaitwa love your things
How old are you mtoa mada? ?? Nina imani jibu unalo mwenyewe
Hahahaaa! Habari ndio hiyo ..unakutana na mbaba tayari alishaoaga decades zilopita kiuno kishazeeka na ana watoto wakubwa tu akaachana na mkewe mpaka leo yupo yupo tu hataki oa kazi kubadili visichana unategemea nini hapo??
Ukikuta msichana anapenda mwanaume wa aina hiyo, basi naye amefuata pesa tu. Sasa wanaume wa siku hizi ATM zimewekewa passwords. Hiyo ndiyo kiboko ya wasichana.
Sinaga kupangisha foleni ila penye masilahi ndiko najihifadhi, pakinishinda naangalia kwingine kwenye masilahi zaidi.
Wenye experience wanafahamu vzr, maana wasichana watadanganya wana kz nzuri. Mwishoni wanaanza kuleta invoices za ajabu.
Mapenzi ya kweli yalipungua kama sio kufa tangu pale watu walipoanza kutumia viungo vyao vya uzazi kama kama vitega uchumi...
mhhh mpita njia