Saivi je imekuwaje pangu pakavu sio!!Kipindi flani ka mwili kalipo anza kunona. Kila jumapili navaa vizuri naenda kanisani. Siku moja Ile nimefika kanisani nimekaa sina hili Wala lile mdada mmoja akageuka nyuma tukakutanisha macho ilikua just waaoo.
Yule dada alitoka alipo kua amekaa akaja moja kwa moja kwenye siti yangu akaomba mtu mmoja ampishe ili azungumze na mimi akiwa na furaha Sana na ndio ilikua first time tumeonana.
Alinichangamkia akanihoji vitu vingi ikawa Kama watu tulio kutana zamani na tulio Juana muda mrefu ali fall in love at first sight sikua interested kuchukua namba yake Ila akapokonya simu yangu huwa siweki password akaandika namba na kujipigia akiwa na furaha Sanaa.
Tukawa tuchati Sana pigiwa Sana simu usiku Akaniambia ili ingiwa na shauku, alinipenda at first sight na hakutaka anipoteze tukawa tuna hang out beach, nikatambulishwa kwa ndugu, akanipeleka kwake maana alikua na kazi nzurii tu, tunaenda church wotee tuka date.
Ni Mimi tu sikumchukulia serious dada wa watu baadae nikawa busy namba niliyo mpa ilipotea na sikuirudisha
Nina matukio mengi Sana ya kupendwa na wadada katika upbringing yangu Leo nimetoa kimojaa nikipata wasaa ntakua naongezea hapa.
Hahaha nakuonea wivu mkuuu!Kuna vumbuzi Fulani tuliwai vumbua na yaan ever sijawai ona even kwenye x au popote Mimi na partner wangu yule
Aiseee hii dunia ina vumbuzi ngumu ngumu..
hapo kati hapooo... KILA KITU CHAKO KINAMPENDAHey guys
Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako?
Imenikuta stendi ya mabus mkoa fulani kuja Dar. Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini alikuwa ananiangalia vizuri namna ile...kimoyo moyo nikaweka sala fupi "ee Mungu huyu kaka hata nisipokaa nae seat moja naomba nisafiri nae bus moja tu" halafu nikamalizia na Amen,nikaingia kwenye bus
Nimefika kwenye bus nikakaa nikiendelea kusali sala ile ile ya Mungu asaidie yule kaka kuwepo ndani ya bus nililopo,nikajisemea ngoja nitoke ndani ya bus nijifanye naenda washroom ili nimuone hata mara nyingine,nikatoka nikaenda washroom
Mungu ni mkuu jamani, nilivyotoka washroom nikaingia ndani ya bus nikamuona yule kaka ndani ya lile bus, mimi namba 9 yeye 10
Sikuwahi kuona safari fupi kama ile japo kiuhalisia ni safari ndefu mnoooo, masaa yalikimbia fasta kinyama huku tukiwa tumezoeana kama vile tulikuwa tunafahamiana kabla.
Hiyo ni mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo,tumekamilisha mwaka with my man ππ Japo haiwahusu wala haiwasaidii kitu lakini nawaambia tu...nampenda huyu mwanaume
Naona kila kitu changu kinampenda,macho yakimuona napata ile amani ambayo siipati kwa yoyote,mwili wangu umemkubali mana nina hisia kali sana juu yake,nikiisikia sauti yake napata ile hamasa ya kuendelea kumsikiliza akiongea hata kama haongei na mimi
Sijawahi kuwa mdau ya ngono lakini tangu nikutane naye nataka kila muda tuwe peke yetu chumbani
Cheers to many years with my man π₯
Am so in love!
Vyote vipo sura,shepu na everything sema TU.Hahaha nakuonea wivu mkuuu!
Demu alikuwaga mzuri au wa kawaida!
Namaanisha shape na sura!!
Unafanyaje mpaka unawapata!!!!!Vyote vipo sura,shepu na everything sema TU.
Usipo mpenda mtu basi usimuumize let her/ him go.
Kwangu nili mhurumia dats sikutaka kumuumiza zaidi ndio maana sikukaa nae Sana.
wazinzi fc
Hadi vicheche wapo kanisani?? Huyo mzoefu ana mivyeti kabisaa.!! Huku uraiani tu huwezi kujizima data hivyo sembuse church jamani πΉπΉπΉKipindi flani ka mwili kalipo anza kunona. Kila jumapili navaa vizuri naenda kanisani. Siku moja Ile nimefika kanisani nimekaa sina hili Wala lile mdada mmoja akageuka nyuma tukakutanisha macho ilikua just waaoo.
Yule dada alitoka alipo kua amekaa akaja moja kwa moja kwenye siti yangu akaomba mtu mmoja ampishe ili azungumze na mimi akiwa na furaha Sana na ndio ilikua first time tumeonana.
Alinichangamkia akanihoji vitu vingi ikawa Kama watu tulio kutana zamani na tulio Juana muda mrefu ali fall in love at first sight sikua interested kuchukua namba yake Ila akapokonya simu yangu huwa siweki password akaandika namba na kujipigia akiwa na furaha Sanaa.
Tukawa tuchati Sana pigiwa Sana simu usiku Akaniambia ili ingiwa na shauku, alinipenda at first sight na hakutaka anipoteze tukawa tuna hang out beach, nikatambulishwa kwa ndugu, akanipeleka kwake maana alikua na kazi nzurii tu, tunaenda church wotee tuka date.
Ni Mimi tu sikumchukulia serious dada wa watu baadae nikawa busy namba niliyo mpa ilipotea na sikuirudisha
Nina matukio mengi Sana ya kupendwa na wadada katika upbringing yangu Leo nimetoa kimojaa nikipata wasaa ntakua naongezea hapa.
mchumba mamboHadi vicheche wapo kanisani?? Huyo mzoefu ana mivyeti kabisaa.!! Huku uraiani tu huwezi kujizima data hivyo sembuse church jamani πΉπΉπΉ
Mwonekano, bahati ,nyota, mvuto wa asili.Unafanyaje mpaka unawapata!!!!!
Kuna sehemu nilikua nafanya field kuna mzee yule itakua yupo kwenye 50's ni handsome ana mvutoMwonekano, bahati ,nyota, mvuto wa asili.
Ni ivyo tu sijafanya jitihada zozotee mkuu automatically.
NB.
Kwa Sasa Mimi ni mtu mzima 40's na na familia na watoto sina Tena hizo mambo kwa Sasa tukio nililo simulia ni tukio la zamani.
Hujawai kupenda wewe..yaan uwe na kila kitu maishani..ukose mwanaume TU. Na ukafanikiwa kumuona dream man wako.Hadi vicheche wapo kanisani?? Huyo mzoefu ana mivyeti kabisaa.!! Huku uraiani tu huwezi kujizima data hivyo sembuse church jamani πΉπΉπΉ
Nakubali ephen Hutokea πβΊοΈ Ila Laamony anabisha kua mtu hawezi fall in love at first sight Tena kanisani πKuna sehemu nilikua nafanya field kuna mzee yule itakua yupo kwenye 50's ni handsome ana mvuto
Alikua akiingia ofisini wanafunzi wa field tunabonyezana! ni raha kumtizama.
Kama una 40's ni dhahiri we ni wa 1980's huko duuh!Mwonekano, bahati ,nyota, mvuto wa asili.
Ni ivyo tu sijafanya jitihada zozotee mkuu automatically.
NB.
Kwa Sasa Mimi ni mtu mzima 40's na na familia na watoto sina Tena hizo mambo kwa Sasa tukio nililo simulia ni tukio la zamani.
Hahaha nimecheka sana mpaka field tenaKuna sehemu nilikua nafanya field kuna mzee yule itakua yupo kwenye 50's ni handsome ana mvuto
Alikua akiingia ofisini wanafunzi wa field tunabonyezana! ni raha kumtizama.
Sijui kama kuna aliyejiweka ila yule mzee alikua hana habari na sisi zaidi ya salamu tu.Hahaha nimecheka sana mpaka field tena
Nyie mabinti ndo mnaopendaga ma handsome boys
Vipi hamna mmoja wenu aliyefanikiwa kujiweka hapo!!!
Watu wazima wapo wengi humu mkuu..Kama una 40's ni dhahiri we ni wa 1980's huko duuh!
Mwanao nakuzoom tuu unavyo jimwamba fayi hapa ππWatu wazima wapo wengi humu mkuu..
Tunapigana vikumbo
Wimbo kwenye shooting yupo MAREHEMU PEMBE NA RUNGU LAKE LA COMRADE KIPEPE πMwanao nakuzoom tuu unavyo jimwamba fayi hapa ππ
Unakumbuka nyimbo ya nitakwenda kumwambia mama aah π
Hope you are doing well mzee wangu
Imenitokea nikiwa primary kabisa Kuna binti huyo i was catching feelings to her....... Mpaka ikatokea siku tulikuwa na nn tukawa tumekaa wote nilihisi kutua mzigo!!Wimbo kwenye shooting yupo MAREHEMU PEMBE NA RUNGU LAKE LA COMRADE KIPEPE π
Kwaio mkuu hujawai pata ku fall in love at first sight πβΊοΈ