LOVE and SEX!! Mmmmh...

LOVE and SEX!! Mmmmh...

Utaweza kupanda milima ya Hi-Malaya kwenda kwa msala sala ya Dharamsala?

Huko ukakutane na Dala inama, sembuse Dalai Lama?

Hilo tu?! Kuna lingine? Chezeiya determination? Wewe just say yes! Utaona :cheer2:
 
Kudooom.:A S-heart-2: kudooom:A S-heart-2: kudoooom :A S-heart-2:kudooom

(thats my heart beat, ngoja mapigo yapoe..)

Naenda zangu kulala!

Why soo soon wakati watoto ushawazibua masikio long ago? Mapacha wako!
 
Asie fundwa ktka unyago hufundwa na wapenzi! Siku zote Ero mm nilijua kuwa SEX lazima iwe ya vurugu,
yaani mavitu ya kufungana vitandani, mara kupigana pingu, mara kuwekana blind fold, mara kubakana,
na vurugu kibao! Mnaweza jiuliza mie nabakaje? Tip; siku ingine tukilala mpenzi wangu anajikuta usiku
akishtuka nimemfunga miguu na mikono kwenye bed angles na I do all sort of things u can not imagine
nikilenga starehe kwetu sote. Kwa mie Sexy Ero ilikuwa faraga ni sex, sex, sex!

Yaliyonipata sasa! Mpenzi wangu kaniambia kachoka na vurugu zangu! Kasema saizi tutafanya vile yeye
anataka. Nina genye zangu mie, who am I to refuse? Nikawa mpoleeee na kufuata anavyotaka. Kaniambia
ninachorusiwa kufanya ni kufuata rhyme ya movement zake ambazo zilikuwa so slow hadi nikawa
nahisi tocha! Kanifanyia kila kitu taraaaatibu, kwa kunibembeleza na kunigusa gusa tu badala ya
kusugua kama ninavyo lazimishaga. Kanifanyia hivo wajameni akiniambia kwa sauti yake tamu kuwa
that is love making...... Wow! Just Wow!

Niwaambieni kitu? I have discovered making lurve…….. oooooooooh. Sijui niseme nini. Huyu mwanaume
huyu ataniua! Najionea huruma, kanifundisha uvumilivu na kutokuwa na papara hasa katika sex.
Details ni hatari, tulijirekodi kwenye video kagoma mimi kuileta hapa, anasema ni for our eyes only.
Ina mzuka hiYo angejua ninavopenda sifa na ninavotamani kuirusha? enwayz the loving is so swiiiit!

Sasa badala ya kukiss kwa fujo, kiss zipo gentle zaidi zimeambatana na feelings, inafanya kiss iwe warm
and hot hapo hapo. Badala ya kuparamiana saizi ni kuguswa, taratiibu kwa kubembelezwa na
kusisimuliwa na sensual massage katika maeneo Fulani Fulani.... Sasa hivi badla ya kufyonzana tu
midomo ni kisses kila mahala, machoni, masikioni, shavuni, shingoni, tits, tumboni na kote.
Yaaaani nasikia kila kitu katika kila kiungo cha mwili wangu hadi nywele.

Mwaaaaaaaah! Lets make looooove! :whoo:

I love this post/thread

Umate-umate aisee
 
Papito today u agriiii with Ero? Wow! Mwaaaaaaah!

Mtoto mada imeamsha vilivyolala aisee....

Some melancholic mood, kama nasikiliza Enya, Demis roussos or something, in a hotel bed, halafu Uzzo ya ugiriki iko mahali yake aisee
 
next time muwe mnaandika 18+ ili sisi wengine tusifungue uzi
 
Erotica daisies mamito! Ila hala hala tu usibemende warembo wetu! Jilie vyako...
 
there are things in life that are difficult to explain...

Inategemea bana. Kila aina ya sex ina ladha yake... wakati mwingine unataka iende kwa midundo ya alaji, alaji, wakati mwengine judi bocha, wakati mwingine senili dayoni, wakati mwingine spidi zaidi (siku hizi kuna limziki fulani la kikaribian linafika mahali wanasem kuchu kuchu kuchu kuchu kuchu kuchu.... silijui jina)
 
5585886]

"........... tulijirekodi kwenye video kagoma mimi kuileta hapa, anasema ni for our eyes only. Ina mzuka hiYo angejua ninavopenda sifa na ninavotamani kuirusha? enwayz the loving is so swiiiit!"
[/SIZE]:whoo:

Erotica mamah!! Wanawake wengi hawafikishwi kileleni, unavyotaka sifa watamfuata wamuonje, akikutana na SLOW MOVER ORIGIN, ujue umekwisha Shosti!
 
Inategemea bana. Kila aina ya sex ina ladha yake... wakati mwingine unataka iende kwa midundo ya alaji, alaji, wakati mwengine judi bocha, wakati mwingine senili dayoni, wakati mwingine spidi zaidi (siku hizi kuna limziki fulani la kikaribian linafika mahali wanasem kuchu kuchu kuchu kuchu kuchu kuchu.... silijui jina)
Tuwekee huo muziki hapa tuji kuchu kuchu weekend hii, si unaojua muda wa kuwa JF ndio unaishia haaaaaaadi J3
 
Saa zingine haihitajiki kuwa serious sana bana......a a...hapa marriage imeingiaje tena.......binafsi Ero is rockin......keep rockin Ero.....
Asante wife kwa kuniwakilisha, lets enjoy love making!

Hahahaha heri yetu sisi tuliovumbua hili mapemba kuliko Erotica ambaye ameona mwezi, lakin tunamshukuru kufunguka kuulezea ulimwengu wake!
 
Last edited by a moderator:
Wounderful Erotica,
That is it! "slow n sexy"
 
Uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhh!damn you una 'mahabaaaaaaaaaaaaaaaaa':A S 11:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
You married woman, why make me sin for having a lust on you.
am a gentleman too.
 
Hi Emerald Ero, Didn't know you'd splash it here. Ok, talk about it and even more if it pleases you but don't
ever show that damn hot killer video!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom