Mlyang'ombe
Member
- Sep 18, 2012
- 9
- 1
Oya wadau i hv a p,plm naomba mnisaidie kuna dem mmj nampend knouma ila kla nkmwambia ananjbu kuwa tayal kuna men ambaye anamkamatia en m stll lovn her xo n2mie njia gan nyngn kumpata cz nmejalbu km mara 3 bt cjafankiwa majbu ni yale yale kuw awez kuhandle wa2 wwl kw wakat mmj
hivi kizazi hiki kinakuwaje!!!hili nalo ni la kuleta humu kwa great thinkers wakushauri!!!kama mtu kisha kwambia ana mtu wake unachong'ang'ania ni nini!!!!
Haya nayo mapyaaaaaaaaaaaa! inabidi mkapa uanze kufafanua herufi na kama hivyo ndivyo unavyo tongoza hakukubali hata miaka 100..ebu jirekebishe kwanza....
anataka aidha kupigwa au kudhalilishwa.hivi kizazi hiki kinakuwaje!!!hili nalo ni la kuleta humu kwa great thinkers wakushauri!!!kama mtu kisha kwambia ana mtu wake unachong'ang'ania ni nini!!!!
kuandika kwenyewe hapa haandiki kistaarabu sasa atakubaliwa vipi,fikra sahihi huja kwa lugha sahihi.Unaongea lugha gani? Kiasi ukataliwe huna ustaarabu
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums