aiseemkuu PERSONAL TUBE ni dawa ya kutibu chunusi,vipele vyote viliyopo usoni mwako vitaisha,personal tube haibadilishi ngozi yako unapaka asubuhi na jioni,JITAHIDI SANA KUOSHA USO WAKO NA MAJI YA MOTO
InaitwajeNjoo kwenye clinic yetu tangi bovu karibu na benki ya NBC tukutibu wengi wanaifurahia uduma yetu
Umejua unangoz ya aina gani ya mafuta au kavuNina sumbuliwa na chunusi yapata miaka saba sasa,nilishauriwa nisipake mafuta yoyote usoni lakini bado haijasaidia.Naona usoni nimekua na madoa na chunusi bado zipo. Nimeshauriwa nitafute clairmen cream,lakini naona ina hydroquinone ambayo wataalam wanasema so nzuri kwenye ngozi. Msaada wenu tafadhali, cream/lotion ninayoweza kutumia maana Uso hautamaniki. Mimi ni mwanaume,rangi ya ngozi yangu,maji ya kunde.
Madoa atumie 7 miracles ndani ya wiki hamna kituEpidem inachagua ngozi mi nilikua nakua mweupe lkn kila Leo madoa yanang'aa
Post sent using JamiiForums mobile app
Naomba kapicha mkuuMimi niliteseka zaidi ya miaka saba ila nimepata lotion anaitwa MARICHA itafute hutojuta
Post sent using JamiiForums mobile app
21,000 mkuuSh ngapi mkuu
IRON LADY!!!!
And who are u by the way..!!???Mnakera nyie na viproduct vyenu havina TBS...we ni dermatologist eti??
Sent using Jamii Forums mobile app
Povu la nini sasa...mnajifanya wajasiriamali uchwara na vijiproduct vyenu visivo na TBS...And who are u by the way..!!???
Ushaanza mipasho mtoto wa kiume.., povu ndo nini sasa..!!?? Ongea kiume au utakuwa na kasoro mahali fulani..,?Povu la nini sasa...mnajifanya wajasiriamali uchwara na vijiproduct vyenu visivo na TBS...
Dawa ya chunusi ni iyo ACTON plus RETIN A sijui DOXYLINE na BENZEL...imethibitishwa na Ma-DERMATILOGIST sasa eti tumia sabuni haina kemikali... ina keki ndani kama sio Kemikali.
Mnakera punguzeni njaaa ata kama Anko Magu kabana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujasiriamali uchwara...kama mjini hakuna kazi si mrudi shamba kuna kazi nyinhi za kilimo????Ushaanza mipasho mtoto wa kiume.., povu ndo nini sasa..!!?? Ongea kiume au utakuwa na kasoro mahali fulani..,?
tatizo lako hujajua unaemwambia hvyo ni nani na anakiwango gani cha elimu na anafanya kazi gani..., ckia kijana nachojaribu kukuelewesha ni kwamba kila mtu na maisha yake..., waache wafanye biashara. Mwenye uzi kaja kuomba ushauri na kila mtu katoa kile anachokielewa, wewe hukupaswa kumkandia mtu kwa chochote alichokielezea ulitakiwa na wewe utoe ushauri wako kisha ukae kimya.Acheni ujasiriamali uchwara...kama mjini hakuna kazi si mrudi shamba kuna kazi nyinhi za kilimo????
We unauza sabuni unethibitishwa na TFDA ama unaendekeza njaa tuu??
Ungekua hujakimbia shule si ungekuta sasa hivi unakula kwa kalamu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa waachiwe hovyo huoni kama wanahatarisha afya za watumiaji??tatizo lako hujajua unaemwambia hvyo ni nani na anakiwango gani cha elimu na anafanya kazi gani..., ckia kijana nachojaribu kukuelewesha ni kwamba kila mtu na maisha yake..., waache wafanye biashara. Mwenye uzi kaja kuomba ushauri na kila mtu katoa kile anachokielewa, wewe hukupaswa kumkandia mtu kwa chochote alichokielezea ulitakiwa na wewe utoe ushauri wako kisha ukae kimya.
Actually mimi sio mjasiriamali wa aina yoyote na istoshe kazi ya ujasiriamali siiwezi hata kidogo. NOTE THAT bwana mdogo