Kuna 3rd party tool nyingi lakini ku
recover password kuna mlolongo mrefu . NAdhani unachohitaji wewe ni kuweza ku
resset pasword mpya uendelee na mzigo
Nimesoma na nimeipenda hii tool inaitwa
Windows Key
Soma maelezo ya hii toool kwenye link hapo chini ukiona yaweza kukufaa then nijulishe nikufahamishe wapi pa kuipata ni file lina ukubwa wa kama wa KB 5500.
http://www.lostpassword.com/windows.htm