Lost laptop - please help.!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lost laptop - please help.!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mja, Dec 17, 2010.

 1. m

  mja JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf
  juzi nilimpa mtu lift ktk gari, akanichapa laptop, yaani aliitoa katika begi akachikichia, sasa najua inaweza ikaangukia kwa yeyote, naomba ukiiona in toshiba t2550, serial number 76033856q ni pm, ninachohitaji ni data za hiyo laptop, nikiweza pata hata hard disk tu, nitashukuru, ni pm , na nitakujulisha namna ya mimi kuwasiliana na wewe, please be sure ninachohitaji ni data na si kingine, zawadi nitatoa, nzuri tuuuu.

  Please heeeelp
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  hahhahhaha

  hii forum ina vituko sana

  Pole sana mkubwa ila nimejikuata nacheka sana baada ya kusoma post yako.

  Kwa nini usiweke kwenye matangazo madogo madogo.

  • Je umeripoti polisi?
  Narudia kukupa Pole lakini huo ni uzembe unampa mu lifti usiyemjua
   
 3. m

  mja JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usincheke ndugu yangu, tunajifunza kutokana na makosa, nimesharipotu polisi
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu jamani tuwe huruma na wenzetu tujaribu kuchukuliana hilo jambo linampata yeyeto me niliwakuchukuliwa cm na mtu ninayemfahamu na nilimpa lift natupanae kwenye gari ila alizima ckuweza kumsachi.

  mkuu pole sana natumaini taarifa zimefika kama ilikuwa na password lazima itatembea kwa mafundi utapewa taarifa
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu pole sana, Mkoa gani?
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kuwakomesha hawa wezi ni kma gari yako ni 5 doors basi ile milango ya seat ya katikati unaipiga child lock - haitafunguka kutokea ndani; halafu unapandisha vioo kiasi kwamba hawezi kutoa mkono kwa nje na kufungua mlango - baada ya kupandisha kioo/ vioo unavipiga lock na vyenyewe kwa kutumia master power window. Halafu unatumia rear view mirror mara kwa mara ili kuona nini kinaendelea hapo nyuma yako. Toa lifti kwa unayemjua tu, usiyemjua big no - awe mwanamke, mwanaume, mtoto, mzee ni NO. akitaka lifti asubiri aombe kwenye msafara wa JK.
   
 7. m

  mja JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nipo dar, jamaa alishukia maeneo ya vinguguti nilikuwa natokea airport
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nimejifunza ckuizi na maneno nishazoea jamaa anaringa na kigari chake ata lift atoi
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Drphone unaona nimempa pole lakini pamoja na kuumpa pole ni ukweli kuna % ya uzembe.  Tatizo kwanza unampa mtu lifti usiyemjua
  Pili Risk kubwa zaidi una kitu cha thamani na kinabeka kirahisi.

  Mja jaribu kufanya hivi

  Kuna jamaa mwananyamala yeye ulikuwa ukiibiwa kitu cha electronic ukienda kwake unakipata u unapta taarifa kiko wapi. Lakini sababu hiyo imeibiwa vingunti sidhani kama inaweza kufmfikia huyo jamaa. Na huyo jamaa sijui kama bado yupo.

  Kama una rafiki na polisi jaribu kuepeleza maeneo ya vinguti mtu anayeuza vitu vya wizi. Usiende polisi kiofisi. tafuta mshikaji anayemjua polisi mitaa hiyo.
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nikweli kabisa kunapolice wanajua vbaka wote
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Duh...hata mimi nilishampa mtu lift siti ya nyuma akashuka na laptop yangu kiana...Be Caeful with your Valuables ukimpa mtu lift!!
   
 12. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Pole Mja tuombe angalau hizo data zipatikane.
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sioo tu vibaka hata watu ambao sio vibka lakini wanauziwa vitu na vibaka.
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  naunga mkono hoja mkuu nilishapata msaada wa aina hyo one day shemeji yangu aliingizwa mjini na wale matapeli wa almasi na wakamla 1.5m lakini tulizipata bila msaada wa police
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yah kuripoti polisi nimuhimu lakini ni formality tu . Hakuna cha zaidi watakachofanya. Sana sana wakipata taarifa unakuwa umewasaidia kujua wamtafute nani walambe 10% yao.

  Hope mja atafanikiwa kujua japo hiyo laptop itakuwa inacheza anga gani za dar
   
 16. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu.kweli kama kuna pwd unaweza kuipata kupitia kwa mafundi.lakini je kama na yeye ni member hapa jf? Siatakuwa ameshajua nini umepanga na nini afanye ili asije angukia mikononi mwa police?
   
 17. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  dr. Upo sawa kwel huko polis nikutoa repot tu. Tena bahati mbaya hiyo ishu imetokea dar labda afadhar ingekuwa huku kwetu kahama mji ni mdogo.
   
 18. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu.kweli kama kuna pwd unaweza kuipata kupitia kwa mafundi.lakini je kama na yeye ni member hapa jf? Siatakuwa ameshajua nini umepanga na nini afanye ili asije angukia mikononi mwa police?
   
 19. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mie ndugu yangu mja, Laptop simu nikiwa alone kwenye gari no lift, no nini...maana watu siku hizi wanalipa hadi intrance fee ya airport na wanaingia na mabeg utadhani wameingia nchini toka safari, wanakuja kwako eti wanataka lift halafu ndani ya hilo bag mkuu hamna kitu......
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  du hii kali mkuu dunia imebadilika usimwamini mtu kabisa yan
   
Loading...