Loss Report mtandao umefungwa?

Loss Report mtandao umefungwa?

Jesusking

New Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
4
Reaction score
1
Tuliopoteza vitu vyetu tunapata taabu sana, au hii ni kwangu tu?

Screenshot_20210404-201119.png
 
Kwenye suala zima la mifumo ya tehama,tuko nyuma sana.Mifumo minhi ya serikali ni duni crude alafu ipo chini muda wote.Nilikuwa nashauri watalaamu wetu waendw google kujifunza
Kwa mfano mtandao wa YouTube ungekua unatumia mifumo kama ya kwetu ungeweza kupakia na kuplay video zote zile? Kweli tunahitaji maboresho makubwa sana
 
Back
Top Bottom