joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Kama kawaida, wakenya akili zenu ndogo sana. KQ inatumia ndege 40,Napenda mnavojiumbua nyinyi wenyewe mkiongozwa na mleta mada Geza Ulole. Taarifa inasema kwamba KQ wana'lease' ndege 20 ila KQ wanaoperate ndege 40. Hizo zingine ishirini zinatoka wapi maanake malofa kama @Mkikuyu Akili-timamu na joto la jiwe huwa hawakomi kutueleza kwamba KQ wana miliki ndege tatu tu.
1. KQ inamiliki ndege 3
2. KQ inapambana kulipa mdogo mdogo, bado hazijawa za KQ hadi deni litakapokwisha, actually deni la hizo ndege ndio linalosababisha, balance sheet ya KQ kuonyesha hasara, year in year out.
Sent using Jamii Forums mobile app