Los Angeles Lakers Hatushikiki

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Timu Inazidi kukamilika Silaha Kazi zaMaangamizi zinazidi Kutua Ndani ya Lakers Team... Sasa Ndio Mwendo wa Kuchukua Ubingwa Back to Back Umewadia

Boys_ii_Men_with_Kikwete.jpg
Ops This is Wrong Usitizame Boyz ii Men...

Tizama Hizi Chini
319480_10152047806280341_746406452_n.jpg


559124_10152047445200341_1373988486_n.jpg


533038_10152046855305341_626402673_n.jpg


409626_10152043846915341_1690917242_n.jpg


255248_10151997903245341_1514076342_n.jpg
Antawn Jamison


576045_10151968678910341_1413524929_n.jpg
Nas
539828_10151951456725341_13974925_n.jpg
hhhhhhhhhhhhhhhhhh
539707_10151954109435341_1625163974_n.jpg


376434_10151962887405341_1721421288_n.jpg

We are expecting this guy to play well on the upcoming 2012-2013 NBA season
we want another championship trophy L.A LAKERS.
 
SIjajua Nash na Kobe wata-coexist vipi. Hii ni challenge kubwa sana kwa kocha. Howard sio wa kumtegemea sana mafree throw hayawezi waki-mhack basi anachemsha vibaya mno.
 
SIjajua Nash na Kobe wata-coexist vipi. Hii ni challenge kubwa sana kwa kocha. Howard sio wa kumtegemea sana mafree throw hayawezi waki-mhack basi anachemsha vibaya mno.
Itamatch tu Usijali Mkuu... Howard akibanwa kobe ndio atakuwa free zaidi aaah we acha kabisa hii kitu itatuliza hasila zangu za miaka miwili iliyopita.... Timu ndio inatakiwa iwe kama hivi yaani inasajili Miami nawaona kama Takataka Sana... Carmelo alidengua last seasons
 
Lakers mchezo mtu amekaa Los Angelas Miezi 4 sababu ya kuwa Lakers sasa aonyeshe yanayotakiwa la sivyo tabia yake itamponza macho ya watu yalivyokuwa kwa Lebron sasa yapo kwa Dwight Howard ila sasa LA LAKERS tunatisha sio kitoto na bado Bench naombea nalo lifanye ya maana ila Big 5 ndio hiyo Kobe,NASH,MWP,Gasol,Dwight Howard wakutuzuia ni OKC tu zaidi ya hapo tunatishaaaaaaa. kazi ipo kwa Lakers Nash na Kobe watapostaafu itawachukua muda. Leteniii Ring hiyooooooo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom