Grader
JF-Expert Member
- Feb 23, 2009
- 445
- 65
Nimepita muda si mrefu kwenye round about ya Bandari, kuna Lori limepinduka na kutiririsha mafuta kwenye mitaro ya kilwa road, na ile tabia ya watanzania kuvamia na kuchukua Mali za waathirika wa ajali kama kawaida. Nimeshuhudia watu wengi sana wakiwa wanachota petrol.
Kumbuka miezi michache tukio la Mbagala wamesahau kilichotokea. Sikuweza kupiga picha kwani nilikuwa naendesha Gari yangu kuelekea Temeke. Waliobahatika kupata picha watujuze.
Kumbuka miezi michache tukio la Mbagala wamesahau kilichotokea. Sikuweza kupiga picha kwani nilikuwa naendesha Gari yangu kuelekea Temeke. Waliobahatika kupata picha watujuze.