timetoloveyourself
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 206
- 206
- Thread starter
-
- #21
Ana 30+ mwanamke healthly atakiwi kuzaa above 35 sasa km mini nataka watoto saba ataweza nizalia? Kwa tafsiri ya haraka 30 kwa mwanamke ni bibi huyo.
aiseee kwaio huyu ni bibi......
Mkuu unawafahamu watoto walioko kiunoni mwangu?
Kipindi unabalehe ulikua unafanya nini mpaka utafute bwana saizi au umeachida kwa ukaka udada na utata wako weka namba ya cm nikupigie uwe my concubine
Mkuu jifundishe kutokuwa judgemental saaana bila kujua ukweli,
Unapatikana wapi na unadeal na nn
Mdada mkaka?
Hii imekaje?
Kipindi unabalehe ulikua unafanya nini mpaka utafute bwana saizi au umeachida kwa ukaka udada na utata wako weka namba ya cm nikupigie uwe my concubine