sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Dear Member hi!
Naomba nitumie lugha yetu nadhifu kuelezea hitaji langu.
Mimi ni.mkurugenzi wa kampuni ambayo ni Limited Campany ambayo makao makuu yake yapo Morogoro
Niliifungua kampuni kwa malengo mbali mbali ikiwepo lengo la kuja kufanya biashara ya lendingi ingawa kama inavyo julikana Limited company inavitu vingi vya kufanya.
Ndani ya kipindi cha miaka miwil tangu nimeifungua nilikuwa nikiangaika kupata mtaji wa lending bahat mbaya sifanikiwa
Sasa nikaona kwa nini napoteza muda?kwa nini nistafute wawekezaji ambao tutaingia makubliano mazuri yenye maslai kwa pande zote na tukapiga kazi?
Rejea kauli za wahenga kidore kimoja hakivunji chawa.
Tafadhali kama upo tayar nipm tuzungumze zaid.
KARBUNI.