Anatafuta "the investors", hivyo ni lazima aandike kimombo!mmh hizi lugha hizi.....haya njoo tutafsirie
Anatafuta "the investors", hivyo ni lazima aandike kimombo!
mi na mihela yangu sijaelewa kimombo, kashanikosa investor.
Mkwe njoo u-invest kwangu kwa kiswahili,lol!
Afu nna salamu zako za krismas kutoka abroad ya mlandizi
hehehe! Nipe vigezo vyako kwanza.
United states of mpwapwa wanasema utakuja lini?