Looking for house to rent in arusha

Looking for house to rent in arusha

HR CONSULTANT

Member
Joined
Jun 7, 2010
Posts
76
Reaction score
8
Wadau natafuta nyumba ya kupanga arusha maeneo maeneo ya mjini au karibu na mjini .

Iwe na vyumba 2 vya kulala,sebure,jiko na iwe self contained.kodi isizidi 200,000 kwa mwezi.

Call me at 0653 07 59 49
 
Wadau natafuta nyumba ya kupanga arusha maeneo ya njiro,nane nane,mjini na maeneo ya karibu na mjini pia.

Iwe na vyumba 2 vya kulala,sebure,jiko na iwe self contained.

Call me at 0653 07 59 49



Kama unataka kuepuka foleni zisizokuwa za ulazima, unaweza kujaribu ilboru au sanawari ya juu. Zipo nyumba zenye utulivu huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom