Hajakosea kwani hairuhusiwi kuweka picha !!!
Matapeli wameingia,huyu atakua dume anachanganya watu..
Matapeli wameingia,huyu atakua dume anachanganya watu..
hairuhusiwi bana vip wew ushawahi weka yako?? coz sijawah iona
Hahahahaaaa uwiiiiii mwaka huu tutaona mengi jamani...nimechekaje...
Sijawah weka lakini nikitaka nawekaa, mbona hiyo sheria naisikia kwako manka wa kichaga
Hahahahaaaa uwiiiiii mwaka huu tutaona mengi jamani...nimechekaje...
Leo hufanyi udukuzi mkuu?Ngoja nikalale, nishatishika....
mmmmh!!!!
Leo hufanyi udukuzi mkuu?
Hapa nilipo nahema juu juu...naogopa kurudi MMU kwa niliyoona