Looking for Brand New Laptop iN Nairobi

Looking for Brand New Laptop iN Nairobi

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
2,818
Reaction score
689
HI Guys
Where in Nairobi can i buy A Brand New High quality and Affordable Laptops
Please Recommend A Store for Me....Thanks In Advance
 
Naombeni kuuliza kati ya Dar na Nairibi wapi naweza pata Affordable(bei nzuri) and high quality electronics particularly LAPTOPS?
 
Naomba kuukiza eti kati ya Dar na Nairobi wapi naweza pata Laptop ya high quality kwa bei nafuu
 
Naomba kuukiza eti kati ya Dar na Nairobi wapi naweza pata Laptop ya high quality kwa bei nafuu

nairobi/ ingawa kwa tz unauziwa kwa tsh kenya ni ksh, ila kwa ubora kenya utapata quality, tatizo bongo janjajanja nying inakubidi uwe makini sana.
 
Naomba kuukiza eti kati ya Dar na Nairobi wapi naweza pata Laptop ya high quality kwa bei nafuu

Tofauti ya bei inaweza isiwepo au ikawa ndogo sana, tofauti iliyopo kwa kule upatikanaji wa brand nyingi na model nyingi za laptops ni mkubwa.
 
Nairobi iko poa ila angalia usije ukapewa za kizamani maana pale kuna wajanja balaa
 
Tumbukia kule tom mboya inapoanzia..karibu na daladala za airport zinapoanza route pale uliza ziko electrinics nyingi sana pande hio..but uwe makini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom