peter kasanga Member Joined Jun 1, 2017 Posts 49 Reaction score 9 Jul 16, 2018 #1 Msaada jinsi ya kupata wanao chapisha vitabu kwa bei ya miatabo kila kitabu
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Jul 16, 2018 #2 peter kasanga said: Msaada jinsi ya kupata wanao chapisha vitabu kwa bei ya miatabo kila kitabu Click to expand... sijakuelewa hapo kwenye hela umesema miatabo ndo nn mkuu
peter kasanga said: Msaada jinsi ya kupata wanao chapisha vitabu kwa bei ya miatabo kila kitabu Click to expand... sijakuelewa hapo kwenye hela umesema miatabo ndo nn mkuu
peter kasanga Member Joined Jun 1, 2017 Posts 49 Reaction score 9 Jul 16, 2018 Thread starter #3 ladyfurahia said: sijakuelewa hapo kwenye hela umesema miatabo ndo nn mkuu Click to expand... Yan miatano
ladyfurahia said: sijakuelewa hapo kwenye hela umesema miatabo ndo nn mkuu Click to expand... Yan miatano
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Jul 16, 2018 #4 peter kasanga said: Yan miatano Click to expand... UNATAKA UCHAPISHIWE KITABU KWA SH 500/=?
Sam 2023 JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,829 Reaction score 1,983 Jul 16, 2018 #5 Kitabu cha kurasa ngapi mkuu. Kama ni vile vya ABC vya watoto inawezekana coz mia tatu unaprint pale 10 halafu mia mbili unaprint cover. Ila ni kazi sana kupata kampuni ya kufanya hio kazi
Kitabu cha kurasa ngapi mkuu. Kama ni vile vya ABC vya watoto inawezekana coz mia tatu unaprint pale 10 halafu mia mbili unaprint cover. Ila ni kazi sana kupata kampuni ya kufanya hio kazi