Looking For Agirl

Looking For Agirl

marc jasper

Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Iam Aboy Aged 23 Looking For Abeautiful Girl On My Life To Lay My Love On Her.For More Information Conterct Me On 0753-638460 Or Jasperkandakome@gmail.Com
 
Admin Iam Aboy Aged 23 Looking For Abeautiful Girl On My Life To Lay My Love On Her.For More Information Conterct Me On 0753-638460 Or Jasperkandakome@gmail.Com
we mtoolto... weka baadhi ya sifa zako nzuri hapa... we unadhani kwa kuandika ulivyoandika si ni sawa sawa na mwanamke kukutana na wewe barabarani... embu badirika basi upate mwenza
 
we mtoolto... weka baadhi ya sifa zako nzuri hapa... we unadhani kwa kuandika ulivyoandika si ni sawa sawa na mwanamke kukutana na wewe barabarani... embu badirika basi upate mwenza

Ww Unataka Sifa Gan Zaid??
 
Hatari Kwel Eeet Unataka Sifa Zann Wakati More Information Unan Conterct
 
Unahisi ni rahisi kama unavyoenda kununua mchicha gengen? Sorry nenda facebook unaweza pata dogo.........
 
Unahisi ni rahisi kama unavyoenda kununua mchicha gengen? Sorry nenda facebook unaweza pata dogo.........

What Kind Of Information Would U Like Me 2 Add To Make U Feel Alright?Comn!!
 
Ssssshh!Dogo Lala Unaongea Xaana Nakunyochea Kidole Ila Huelewi

Haya bro..lakini bro kumbe we ni domozege mpaka utafutiwe dem na admin..kwa kuksaidia nitakutumia namba ya demu ilinimsaidie admin majukumu kwa leo uck cheza pool..kesho ndio suluhisho
 
Haya bro..lakini bro kumbe we ni domozege mpaka utafutiwe dem na admin..kwa kuksaidia nitakutumia namba ya demu ilinimsaidie admin majukumu kwa leo uck cheza pool..kesho ndio suluhisho

Hahahahaha!Umeshinda Dogo Admin Anakusikiliza2 Hana Chakuongea
 
Hawa watoto wa shule wamelijua hili jukwaa basi ni kazi kweli kweli...Leo unataka demu...Baada ya wiki mbili unarudi hapa kujisifia eti umemla kiboga.Mwezi mmoja baadae unarudi tena umeweka mikono kichwani eti unaomba ushauri dem wako AMELIWA MANDE..eti ufanyeje...! Haya kila la heri kila shetani na mbuyu wake.Huenda ukapampata nyege mshindo mwenzio....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom