Kichwa cha habari hapo juu chahusika, namtafuta kijana ambaye ni technician na mwenye uzoefu kidogo kwenye construction industry ( civil engineering). Awe mtu wa kazi kweli kweli, mwenye sifa hizo anicheki inbox, tuongee kuhusu kuanzisha biashara ya vile. Nipo iringa kwa sasa na itakuwa rahisi zaidi kama na yeye atakuwa iringa mikoa ya karibu.