Hapana simaanishi anisubiri miaka 4. ila mipamgo yangu ya baadaye ni kurudi kuishi Tanzania in 4 years. Suala la yeye kuja huku hayo ni masuala ambayo yata kuwa discussed baadaye, tukishaonana na kuona kuwa we have chemistry and we both want to be with one another. Narudi Tanzania mwisho wa mwaka huu kutembeakila la kheri ila una masharti magumu sasa kweli mtu akusubiri miaka minne, na kama hana uwezo wa kuja huko marekani..
Ni pazuri lakini I want to be close to my family, wazazi wangu wanazeeka and I want to be there for them kwa sababu they were there for me all my life. After all nyumbani ni nyumbani au sio??
That means you don't have any interest, right?? which is totally finekama sitaki kutuma pm je.........
That means you don't have any interest, right?? which is totally fine
I edited the post to include my email address. Thanks for your thoughtsungeweka email au phone no,uwapunguzie usumbufu wa kutafutana
Am doing both, naangalia watu waliopost lakini pia nimeweka post yangu ili kupanua wigo zaidi, if you know what I mean. its so hard to meet Tanzanians hapa nilipo ndo manalakini ukipitia hili jukwaa la love conect kuna wadada washawahi kutuma thread zao,au vigezo vyao havijameet standard zako?:A S 39:
Kila mtu ana mapenzi yake kakaunatania weye...yaani usipate mke huko kwa obama unatafuta bongo!!! huku watoto black american wazuri na wanajuhudi balaaa
Kila mtu ana mapenzi yake kaka
atukatai ila huwezi nidanganya kwamba warembo wa obama sio wazuri kuliko wa bongo..au wee mwezangu outside beauty carries no marks when in search of a wife?
Very well written, I got nothing to add. Thanksanatafuta wa kumuondolea upweke ,mtu wa kushare naye kwa kila kitu i mean tabu na raha,atakayeaccomodate mapungufu yake,mama wa watoto wake...hapa kuyapata kwa mtu mmmja is insurmountable task, unatakiwa umejipanga uzuri wa watoto wa kibongo au marekani ni irelevant,nani ataefit ndio ataolewa, na uzuri uko subjective unamuona mzuri kwa wengine sio,
Whatever man. Am not trying kukudanganya chochote so I don't know what you are talking about..atukatai ila huwezi nidanganya kwamba warembo wa obama sio wazuri kuliko wa bongo..au wee mwezangu outside beauty carries no marks when in search of a wife?
anatafuta wa kumuondolea upweke ,mtu wa kushare naye kwa kila kitu i mean tabu na raha,atakayeaccomodate mapungufu yake,mama wa watoto wake...hapa kuyapata kwa mtu mmmja is insurmountable task, unatakiwa umejipanga uzuri wa watoto wa kibongo au marekani ni irelevant,nani ataefit ndio ataolewa, na uzuri uko subjective unamuona mzuri kwa wengine sio,
yes kaka...you are right au sio...You must be an expert in this area and it seems you have taken special interest kutuelimisha through this thread of mine. Appreciated Consultantalafu wewe alikudanganya nani uzuri upo subjective.....there are women that 99% wanakubali kuwa huyu ni mzuri period well except for that one guy that ana macho makengeza ndio atasema wakawaida.