Looking for a partner

Mkuu kama unawaza kula basi ushafeli.
mwenzio anataka ndoa sio kula na kusepa.

wa hivyo wapo wanauza

Siwezi nikaweka ahadi ya kuoa moja kwa moja ili hali binti sijawahi mpima oil. Tunakutana tunaanza ku date na ikifika stage tumefahamiana na kila mmoja yupo tayari kuwa mke/Mume basi suala la kuoana linafuata.
Kuoa naweza nikaoa tu vizuri ila kumnyandua muhimu ndio niamue naoa au lah. Hata kama nisipomwambia moja kwa moja ila ni muhimu kufahamiana ndio nimpe hayo matumaini.
 
🦍🐄🐷🐷🦧
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…