Black Mann
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 140
- 209
Habari Ndugu,
naomba niende moja Kwa moja kwenye point.
Nimekuwa single Kwa muda mrefu Sana na nimejaribu kutafuta mahusiano Kwa muda mrefu kidogo(japo sijakazania saana) lakini naona kama sipati mtu sahihi na aliye seriously.
Kwa sasa naomba kama kuna msichana, mdada ama Mwanamke yoyote aliye single na mpweke tuungane Kwa pamoja kuliwazana, kama tutaendana na kukubaliana zaidi basi tutaweka mipango na mikakati zaidi.
Miaka yangu ni 35 Naishi Dar es salaam, Muajiriwa najitegemea (sio marioo)
Napenda msichana wa age za 23 na kuendelea. Dini yoyote (Mimi Christian)
Mambo mengine tutaelezana zaidi karibun Sana DM
Mkuu una threads zaidi ya tatu unatafuta partner mpaka leo hujapata tu
Mungu akusimamie
Kwamba umeenda kumchimba [emoji28][emoji28]
Kwamba umeenda kumchimba [emoji28][emoji28]
AmenMkuu una threads zaidi ya tatu unatafuta partner mpaka leo hujapata tu
Mungu akusimamie
Soma vyema uelewe nilichpandikaauliishi vp hadi 35, sa hv uje kumaliza bando zetu..
Si ndio sasa mkuu[emoji38][emoji38]
Mungu amsaidie apate tu wana JamiiForums tualikwe
kw hyo tangu ubalehe hadi kufkia kuish bila mwanamke ulkuwa na umr gan.?Soma vyema uelewe nilichpandikaa
nipe tender nikuletee mchumba mkuuHabari Ndugu,
naomba niende moja Kwa moja kwenye point.
Nimekuwa single Kwa muda mrefu Sana na nimejaribu kutafuta mahusiano Kwa muda mrefu kidogo(japo sijakazania saana) lakini naona kama sipati mtu sahihi na aliye seriously.
Kwa sasa naomba kama kuna msichana, mdada ama Mwanamke yoyote aliye single na mpweke tuungane Kwa pamoja kuliwazana, kama tutaendana na kukubaliana zaidi basi tutaweka mipango na mikakati zaidi.
Miaka yangu ni 35 Naishi Dar es salaam, Muajiriwa najitegemea (sio marioo)
Napenda msichana wa age za 23 na kuendelea. Dini yoyote (Mimi Christian)
Mambo mengine tutaelezana zaidi karibun Sana DM
Muonee huruma basi... Imagine umeona anahangaika kila siku na umeshindwa kumsaidia...Mkuu una threads zaidi ya tatu unatafuta partner mpaka leo hujapata tu
Mungu akusimamie
Muonee huruma basi... Imagine umeona anahangaika kila siku na umeshindwa kumsaidia...
Siyo mpaka uwe wewe hata ndugu yako basi.Sasa mkuu nikimuonea huruma ntamueka wapi mimi
Acha tu aendelee kupambana... me ntamueka kwnye maombi yangu
Siyo mpaka uwe wewe hata ndugu yako basi.
Kwan ni uongo mkuu??
Ukwel mtupu