newoverhere
Member
- Mar 4, 2014
- 23
- 9
babu wee mapenz yanaanzia kokote eeh!! watu wanakutana kwenye vyoo vya club sembuse jfHivi huko mtaani haujapata? mpaka uje humu jamvini
Ungebandika tangazo hili hapo kwako unapoishi, ofisini na kanisani pia ili kuongeza idadi ya chaguoJamn kama nipo serious I hope nitampata aliyeko serious km mm, na Mungu yupo kila sehem hata humu jf yupo.
Jaman nipo serious, cyo mzaha! Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume kwa maana ya kujali na kutunza familia na mwenye mapenz ya kweli.
Sifa: umri 30-35, elimu atleast six na kuendelea, awe mwajiriwa au anayejishughulisha ku-generate income, mkristo mkatoliki, mrefu na cyo mnene sn, awe tayar kuchek afya na acwe na mtoto, acwe mweupe na pia awe mwaminifu.
Sifa zangu: umri 27, degree holder, mwajiriwa, mnene kiac, cyo mweupe wala mweuc, cyo mrefu wala mfupi. Mwenye cfa na aliye serious an-pm, no jokes plzzzz!!!
Ungebandika tangazo hili hapo kwako unapoishi, ofisini na kanisani pia ili kuongeza idadi ya chaguo
Hapo kwenye redJaman nipo serious, cyo mzaha! Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume kwa maana ya kujali na kutunza familia na mwenye mapenz ya kweli.
Sifa: umri 30-35, elimu atleast six na kuendelea, awe mwajiriwa au anayejishughulisha ku-generate income, mkristo mkatoliki, mrefu na cyo mnene sn, awe tayar kuchek afya na [colour=red]acwe na mtoto[\colour], acwe mweupe na pia awe mwaminifu.
Sifa zangu: umri 27, degree holder, mwajiriwa, mnene kiac, cyo mweupe wala mweuc, cyo mrefu wala mfupi. Mwenye cfa na aliye serious an-pm, no jokes plzzzz!!!
Njoo uchuke jero mkuu nmecheka sana
Jaman I think cyo lazma kujibu, ndo maana nlisema walio serious tu ndo wani pm, if not serious plz don't