• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Looking for a logistics and system administration job

D

DaPilly

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Messages
183
Points
225
D

DaPilly

Senior Member
Joined Mar 2, 2012
183 225
I am looking for a job specifically in logistics and system administration, I have about twelve years experience in the said areas. Any interested person or company please trace me at contacts shown on my CV.
THANK YOU VERY MUCH:israel:
DA PILLY
 

Attachments:

Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
35,637
Points
2,000
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
35,637 2,000
Da Pilly bhana jiajiri tu mwenyewe sasa, nimepitia CV yako iko vizuri tu, tafuta tu namna ya kutoka kivingine vingine
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,830
Points
2,000
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,830 2,000
Kweli kuna umuhimu wa kujiajiri Jipange mdada
 
D

DaPilly

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Messages
183
Points
225
D

DaPilly

Senior Member
Joined Mar 2, 2012
183 225
Kweli kuna umuhimu wa kujiajiri Jipange mdada
Thank you mdada mwenzangu
 
KIKUNGU

KIKUNGU

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
853
Points
195
KIKUNGU

KIKUNGU

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
853 195
We DaPilly utakuwa schoolmate wangu,wa Usagara mabangi,enzi za HM Mrema,nilikutangulia miaka miwili lakini.CV yako mbona nzuri hata kujiajiri bwana, hata kufanya research pia.Hebu watumie PES on info@pes.co.tz naona kuna nafasi moja ya Logistician wameitangaza muda sasa naona haijapata mtu,una-fit in sana hasa na hiyo backgound yako ya information systems.
Hebu ni-PM nikuelekeze sahemu nyingine pia
 
COURTESY

COURTESY

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Messages
2,009
Points
1,225
COURTESY

COURTESY

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2011
2,009 1,225
I am looking for a job specifically in logistics and system administration, I have about twelve years experience in the said areas. Any interested person or company please trace me at contacts shown on my CV.
THANK YOU VERY MUCH:israel:
DA PILLY
CV imeenda shule,i hope utapata job soon tena seniour position
Gudluck bi dada!
 
I

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Messages
2,894
Points
2,000
I

Islam005

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2008
2,894 2,000
hata mimi nimevutiwa na hii CV hongera mummy,naomba uniambie hiyo graphic design uliyosoma south na Proj Manag-Uganda zilitumia muda gani kila moja na vipi bei zake zilikuwaje i think am interested.thank u
 
jamii01

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Messages
1,885
Points
2,000
jamii01

jamii01

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2010
1,885 2,000
Nimeogopa hiyo C.V hiko JUU ..japo naona kuna mapungufu ya uandikaji wako wa C.V kulinganisha na mfumo wa kisasa..American Style.

ALL THE BEST..
 
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,442
Points
1,500
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,442 1,500
Pili CV yako inafaa sana kwa wewe ku consider kua consultant kwenye hii field.
You have what it takes to do it
Go ahead
 
D

DaPilly

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Messages
183
Points
225
D

DaPilly

Senior Member
Joined Mar 2, 2012
183 225
hata mimi nimevutiwa na hii CV hongera mummy,naomba uniambie hiyo graphic design uliyosoma south na Proj Manag-Uganda zilitumia muda gani kila moja na vipi bei zake zilikuwaje i think am interested.thank u
My dear Hizo kozi ni wiki mbili mbili ada yake ni US D 3500 kila moja. Nililipiwa na ofisi
 

Forum statistics

Threads 1,404,963
Members 531,857
Posts 34,473,084
Top