The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Truly huyo rafiki yako how serious is she??????Nilimuuliza toka mwanzo hebu tafuta majibu yake ha ha ha Babaubaya wewe kumbe unasoma katikati ya misitari kama mimi[/QUO
Nilishaona jamani nikajibu si msome muone nimesema nini? Nimeshamjibu Lizzy
Truly huyo rafiki yako how serious is she??????
Im very very serious
Ahaaaa ahaaaa Dena uko vere vereIm very very serious
Najiandaa kuja VENICEYegomasika nitakusemea kwa wife..usije ukaoa kisiri siri tena, namwambia ajiunge JF kukata mzizi wa fitina!!.. kwanza hujashtukia ni ndume hilo?! ha ha
hahaha!ni ww unatafuta ama ni friend wako?!!!!!!!!!!kuna mahali cjaelewa kdg ila kila la kheri
Truly huyo rafiki yako how serious is she??????
Very serious. If you are interested let her know. Amecheka kweli majibu yako maana uliposema "muelewa kama spika wa bunge"
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
Orait,kuna kigezo kimoja amekisahau je yeye yuko tayari kupima HIV????Very serious. If you are interested let her know. Amecheka kweli majibu yako maana uliposema "muelewa kama spika wa bunge"
Truly kwani ku-analyse na ku-think critically lazima uwe na PHD sasa sijaelewa kama anatafuta mume au anatafuta msomi, unaweza kupata huyo mwenye sijui PHD mara Diploma lakini hajui kuthink na ku-analyse mambo, fahamu fika kwamba hivyo vitu vipo just naturally unaweza kuwa umesoma still ukawa kilaza linapokuja suala la mahusiano so mwambie awe makini sana asije akafikiria PHD na Diploma ndizo zitampa mume bora......Mwisho wa kuwakilisha
TF.
am just watching!nilitaka tu nione msimamo wako ingawa umempa warning truly lkn nimekusamehe,achana na dig2
Orait,kuna kigezo kimoja amekisahau je yeye yuko tayari kupima HIV????
Baada ya kuwa mtu anafit kigezo cha kupima ni MUST
I am ready but she must be virgin