Looking for a Gym buddy!

Looking for a Gym buddy!

Mnyasambo

Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
68
Reaction score
7
Wanajamvi mm ni mwanaume niko earl 30s natafuta rafiki wa kwenda nae gym ili tuwe tunapeana moyo na kuhimizana, sababu nataka kupungua hasa kitambi, sibagui jinsia dini rangi wala kabila hua napenda kwenda collosium fitness club, anyone anipm.

Cheers!

Mnyasambo
 
Bandika poster chumbani kwako ya fitness icon unayemkubali.
 
Si useme tu ukweli unataka rafiki wa nini?
Maana nakuona unazunguka Mbuyu tu.
 
Back
Top Bottom