Naomba kuuliza wajameni......hivi huku kuongezeka kwa kasi ya haya mabandiko ya kutafuta girlfriends humu jamvini, ndo kusema kuwa wadada wa humu wanapatikana kiurahisi sana au??
Yap nipo Dar natafuta mchumba, umri wangu ni miaka 23 priority zaid kwa yule anayetokea maeneo ya dar
Achani kubana ona mpaka mnatokwa na povu kisa mijiwivu tu imewajaa manina zenu