Looking for a Fundraising Officer

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Kagera Development and Credit Revolving Fund (KADETFU) is a National Non-Governmental Organization (NGO) that is based in Kagera region, it is located in Bukoba town, in the North western part of Tanzania. It was registered by the government on July 30[SUP]th[/SUP], 1993 under the Trustees Incorporation Ordinance cap No 375 of 1956. The registration number is ADG/TI/2058. Under the new NGO act 2002, it has obtained a Certificate of Compliance (CoC) No. 1596 of 13.3.2006.

We are looking for a qualified personnel to work as the fundraising officer/ATM Manager

Job Title : Fundraising Officer/Access to Market (ATM) Manager

Job Station : Bukoba Municipality, Kagera

Remuneration : Starting from 615,000/= and above per month with own transport.

Qualification :
  • A graduate in Social Science/Economics/Agribusiness from a recognized institution in East Africa.
  • Should be capable of proposal writing
  • Fund Raising techniques
  • Knowledge in Value chain development and analysis
  • Project Monitoring and evaluation
  • Computer literate and internet use

Application mode:

The Human Resource Manager
KADETFU
P.O.BOX 466
BUKOBA

E : mail- kadetfuproject@gmail.com

Call : 0752 965846

Deadline is two weeks from Today - 13/4/2012
 
Send your CV and certificates including the application letter as soon as possible
 
si busara mtu anapo weka tangazo la kazi alaf una mkatisha tamaa,kama we huwez fanya kaz kwa laki6 kuna wanaoweza kufanya hata kwa laki4.isitoshe jf inatumiwa na watu wengi kutoka pande mbalimbali tanzani,siyo kila tangazo la kazi lazima likuhusu.Tujaribu kulilinda hili jukwaa kwa kuheshimiana,hili jukwaa linatusaidia wengi. Naomba tusiwavunje mioyo watu kutuletea nafasi za kazi,wala tusikwaze wengine.Amani kwako
 
Kagera Development and Credit Revolving Fund (KADETFU) is a National Non-Governmental Organization (NGO) that is based in Kagera region, it is located in Bukoba town, in the North western part of Tanzania. It was registered by the government on July 30[SUP]th[/SUP], 1993 under the Trustees Incorporation Ordinance cap No 375 of 1956. The registration number is ADG/TI/2058. Under the new NGO act 2002, it has obtained a Certificate of Compliance (CoC) No. 1596 of 13.3.2006.

We are looking for a qualified personnel to work as the fundraising officer/ATM Manager

Job Title : Fundraising Officer/Access to Market (ATM) Manager

Job Station : Bukoba Municipality, Kagera

Remuneration : Starting from 615,000/= and above per month with own transport.

Qualification :
  • A graduate in Social Science/Economics/Agribusiness from a recognized institution in East Africa.
  • Should be capable of proposal writing
  • Fund Raising techniques
  • Knowledge in Value chain development and analysis
  • Project Monitoring and evaluation
  • Computer literate and internet use

Application mode:

The Human Resource Manager
KADETFU
P.O.BOX 466
BUKOBA

E : mail- kadetfuproject@gmail.com

Call : 0752 965846

Deadline is two weeks from Today - 13/4/2012

Wadau changamkia hiyo nafasi na karibu bukoba mji wa kwanza nchini tanzania kutokuwa na tatizo la kukatiza kwa umeme,hali ya hewa safi,vyakula vya kumwaga,viwanja bado vipo na mengine ambayo ni mazuri anayoweza kueleza Ta Muganyizi

mkifika nitafute niwaoneshe viwanja vya kula bata
 
we nani aje kufanya kazi kagera tena kwa laki6.

we ni mshamba sana.

we uko mkoa gani? unalipwa sh ngapi? take home yako ni sh kwa mwezi,balnace yako kwa mwezi ni sh ngapi? una nini cha maendeo? ndugu zako unawasiadiaje,familia yako inaishi maisha ya namna gani? una usafiri? umejenga? wapi? unasomesha? shule ya namna gani?.unaishi maisha ya raha? Haya yote yanajibiwa na KIPATO CHAKO na MAZINGIRA ulipo. Wabongo mnafikiri kubanana dar na kwenda club ndiyo maisha.FAINAL UZEEEEEENI

jioni njema
 
we nani aje kufanya kazi kagera tena kwa laki6.

" Success is not final and Failure is not permanent" kama wewe unaona hapo ulipo ndo final basi subiri........lakini ninavyokuona ni kama akili zako = masa....ri yako. Hujui maana ya laki 6 and above...Hivi kwa akili yako above ni sh ngapi?

Kwa akili yako unadhani Bukoba maisha bei ghali kama huko uliko? Au unadhani kila kazi inakuhusu wewe mjinga. Kwa maana nyingine sie tunaoijenga nchi tukiwa huku ni wapuuzi. Kwa vyovyote vile utakuwa shemeji wewe.
 
we ni mshamba sana.

we uko mkoa gani? unalipwa sh ngapi? take home yako ni sh kwa mwezi,balnace yako kwa mwezi ni sh ngapi? una nini cha maendeo? ndugu zako unawasiadiaje,familia yako inaishi maisha ya namna gani? una usafiri? umejenga? wapi? unasomesha? shule ya namna gani?.unaishi maisha ya raha? Haya yote yanajibiwa na KIPATO CHAKO na MAZINGIRA ulipo. Wabongo mnafikiri kubanana dar na kwenda club ndiyo maisha.FAINAL UZEEEEEENI

jioni njema

Mwana hamna noma wewe waache tu.
 
we nani aje kufanya kazi kagera tena kwa laki6.

kama ulisoma basi elimu yako haijakukomboa. utang'ang'ania Dar kwa salary ya sh laki 2. kisa usharobaro wa kukaa mjini ofa unasubiria washkaji, getho kwa sister wako unapishana kordo na sister wako. siku wageni akizidi unaambiwa ulale sebuleni wa mwisho kulala na a kwanza kuamka. lakin sifa niko town. utaumia wewe
 
we nani aje kufanya kazi kagera tena kwa laki6.

Afadhali wew ambaye unanafasi ya kuchagua mahali na mkoa unaotaka kufanya kazi na mshahara unaotaka sisi wengine hatuna kazi hata tukiambia popote kule maadamu watu wanaishi tunaenda haijalishi ni kiasi gani tutalipwa
hongera yako mkubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom