Lookin for House ya Laptop acer Aspire 5610z

Kede

Member
Jun 13, 2011
31
19
Habari wana JF, natafuta house ya acer aspire 5610z coz laptop yangu immeharibika bawaba (imepasuka) haifungi kwaio iko kama desktop nashindwa kuikunja... nimezunguka kwa mafundi wakaniambia paka nipate mtu mwenye pc km iyo ambayo mbovu ndo akupe house ...my No: 0686 921820
 
Hao mafundi wameshibda hela. Nenda ebay. Kwanza unaweza kuta unachohitaji sio housing nzima. Ni part fulani tu. Mafundi kama hao ndio wale kompyuta haiwaki abisa hacheleiw ku - conlude kuwa mother bord imekufa. Kumbe kilichokufa ni power supply IC tu iliyo ndani ya mother board.
 
Back
Top Bottom