XFT
Member
- Jul 28, 2013
- 25
- 2
Kila wakati ni muhimu kutambua vikwazo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Usi yakubali maisha yasiyo na changamoto, uta himarika kila wakati unapo inuka baada ya kuanguka.
Jifunze kujifariji kwani hakuna anayo ielewa njia upitayo zaidi ya wewe mwenyewe. Jikubali kwanza wewe mwenyewe kuiepuka roho pingamizi iliyo ndani mwako.
Beba maji ingawa huoni kiu sasa ya kuwa bado ni asubuhi, mchana jua nikali uta lazimika kunywa maji ya mtoni. Kwani kinga isiyo kufaa leo itakulinda kesho.
Ili kushinda ni lazima uingie uanjani.